Genesis 6:11-12

11 aWakati huu dunia ilikuwa imejaa uharibifu na ukatili machoni pa Mungu. 12 bMungu akaona jinsi dunia ilivyoharibika, kwa maana watu wote duniani walikuwa wameharibu njia zao.
Copyright information for SwhKC